Rais azuru maeneo ya Nyandarua kuomba kura

Rais Uhuru Kenyatta amewatahadharisha wanaotaka kuona mabadiliko nchini kuwa muda wao wa kuwa na usemi unaelekea kwisha ikisalia siku nne tu kabla ya shughuli ya usajili wa wapigakura kufikia kikomo. Rais amewaonya watakaokataa kusajiliwa kuwa majuto ni mjukuu wasije kulalamika baadaye. Uhuru ameitaka tume ya IEBC kukubali kuwasajili wale ambao wa vikaratasi vya kusubiri vitambulisho.

Tags:

IEBC NYANDARUA Rais Uhuru Kenyatta Usajili wa wapigakura

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories