Rais Kenyatta aagiza maafisa wa NTSA kuondoka barabarani

Rais Uhuru Kenyatta ameamuru maafisa wa halmashauri NTSA kuondoka barabarani mara moja. Akizungumza katika mazishi ya makasisi watatu walioaga dunia katika ajali Huko Meru, Rais Kenyatta alisema kwamba maafisa wa NTSA wanastahili kusalia katika ofisini zao wakibuni sheria na kuwachia polisi wa trafiki kazi ya kutekeleza sheria hizo barabarani.

Tags:

NTSA Hassan Mugambi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories