Rais Kenyatta adokeza kuwa mafisadi wataadhibiwa vikali

Rais Uhuru Kenyatta ametaka vita dhidi ya ufisadi kuongezwa makali ili kuweza kuafikia ufanisi unaotarajiwa na wananchi.
Akiliongoza taifa kwenye maadhimisho ya siku ya mashujaa, Rais Kenyatta alitoa changamoto kwa jaji mkuu mpya David Maraga atumie wadhifa wake kuwaonyesha wafisadi kuwa hawana nafasi tena humu nchini. Rais pia alisisitiza umuhimu wa umoja wa kitaifa na siasa zilizokomaa katika hafla hiyo ambayo pia ilihudhuriwa na viongozi wa upinzani Kalonzo Musyoka na Moses Wetangula.

Tags:

Rais Uhuru Kenyatta Justice David Maraga vita dhidi ya ufisadi

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories