Rais Kenyatta akutana na viongozi wa kanda ya Mlima Kenya


Rais Uhuru Kenyatta ameitaka tume ya uchaguzi kujukumika na kuandaa uchaguzi kwa wakati uliowekwa ili kusiwe na mtafaruku wa kikatiba na kuwanyima wananchi haki ya kuwachagua viongozi wao. Rais anasema kuwa muungano wa Nasa unataka tukio kama hilo lifanyike ili kusiwe na uchaguzi na kisha kizaazaa kitakachofuata kisababishe mazungumzo ya kuunda serikali ya muungano.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Faiza Wanjiru
More by this author