Rais Kenyatta amehimiza Wakenya kuishi kwa amani

Rais Uhuru Kenyatta ameunga mkono hatua ya kiongozi wa Nasa Raila Odinga kutatua mzozo wa uchaguzi mahakamani. Katika ibada ya Jumapili huko Ngong, Kaunti ya Kajiado, Rais Kenyatta na Naibu Rais William Ruto wametaja hatua hiyo kama ambayo inaonyesha kukomaa kwa demokrasia nchini na kuwataka wananchi kwendelea na shughuli zao za kila siku kwa amani na kuiacha mahakama kufanya uamuzi wake.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories