Rais Kenyatta aongoza kikosi cha Jubilee Busia

Kampeni za kukipigia debe chama cha Jubilee katika kaunti ya Busia na ambazo ziliongozwa na Rais Uhuru Kenyatta na naibu rais William Ruto zilisheheni zawadi kochokocho za maendeleo wa wenyeji na ahadi zinginezo iwapo Jubilee itashinda katika uchaguzi ujao. Deni la wavuvi wa Budalangi kwa halmashauri ya AFC ilifutiliwa mbali huku rais na ujumbe wake wakizamia suala la uhaba wa unga na maendeleo yaliyofanywa chini ya serikali yake.

Tags:

JUBILEE william ruto Ababu Namwamba Busia Rais Uhuru Kenyatta

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories