Rais Kenyatta aongoza kikosi chake Isiolo


Ujumbe kuwa umoja ni nguvu ulikithiri katika mikakati ya Jubilee ya kutafuta kupigiwa kura katika kinyang’anyiro cha Oktoba 26 huku Rais Kenyatta akikutana na waliobwagwa kwenye uchaguzi wa Agosti ikuluni naye Naibu Rais akifanya kampeni katika kaunti ya isiolo. Naibu rais william ruto amesema kuwa lazima marekebisho ya kisheria yafanyike ili iwe vigumu kwa idara ya mahakama kupuuza uamuzi wa wananchi kabla ya kuhesabu kura walizopiga.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Faiza Wanjiru
More by this author