Rais Kenyatta aongoza kikosi chake Makueni, Kilifi

Rais Uhuru Kenyatta amewaonya wananchi watakaosalia kwenye vituo vya kupigia kura kinyume na maagizo ya IEBC watachukuliwa hatua. Katika kampeni za kukipigia debe chama cha Jubilee, rais amesema kuwa vikosi vya usalama havitakubali tishio lolote la usalama kwenye vituo vya kupiga kura. Aidha rais ametishia kuwachukulia hatua ambayo hajaitaja machifu wanaoegemea upande wa upinzani NASA iwapo atachaguliwa kwa kipindi cha pili.

Tags:

Uhuru kenyatta JUBILEE Makueni Kilifi

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories