Rais Kenyatta aongoza wanajubilee Bonde la Ufa


Vinara wa Jubilee wakiongozwa na Rais Uhuru Kenyatta hii leo wamezuru kaunti ya Nandi na kushutuma muungano wa NASA kuwa wana nia ya kuendeleza kesi za icc iwapo wataibuka washindi.  Chama cha Jubilee sasa kimewaonya wafuasi wake wasishawishiwe na ahadi za muungano wa NASA wakidai lengo lao ni kuwarudisha ICC baada ya uchaguzi.

Stephen Letoo na taarifa hiyo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: | BULLDOZERS FOR SANITIZERS | Families remain in the cold after evictions from Kariobangi sewage estate

Avatar
Story By Stephen Letoo
More by this author