Rais Kenyatta asema NASA wana haki ya kuandamana

Rais Uhuru Kenyatta amesema kuwa NASA wanakila haki ya kufanya maandamano ya amani lakini amewaonya dhidi ya kuzua rabsha katikati mwa jiji la Nairobi akisema kuwa serikali itakabiliana vilivyo na waandamanaji watakaotatiza maisha ya kawaida ya wakenya. Rais Kenyatta alikuwa akizungumza alipoendeleza kampeni za Jubilee katika kaunti za Tharaka Nithi na Embu 

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories