Rais Kenyatta Ashtumu Wanaowavua Wanawake Nguo

Rais Uhuru Kenyatta amewataka Wakenya kuchukua jukumu la kuzuiya visa vya unyanyasaji wa kijinsia na sio kuwategemea na kuwalaumu polisi kwa kutochukua jukumu la kuzuiya visa hivi. Kenyatta alikuwa akizungumza katika uzinduzi wa kampeni mbili ile ya siku 16 za harakati dhidi ya unyanyasaji wa jinsia na kampeni ya ‘Heforshe’ katika uga wa chuo kikuu cha Nairobi. Pheona Kengah alihudhuria uzinduzi wa kampeni hizo mbili na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories