Rais Kenyatta awaongoza wanaJubilee kujinadi bonde la Ufa


Rais Uhuru Kenyatta ameongoza kikosi cha Jubilee kujinadi katika maeneo mbalimbali ya Bonde la Ufa akiwataka wafuasi wake kujitokeza kwa wingi wakati wa marudio ya uchaguzi wa rais Oktoba 17.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Salim Swaleh
More by this author