Rais Kenyatta azindua upya Panpaper

Rais Uhuru Kenyatta hi leo amezuru mkoawa Magharibi haswa mji wa Webuye katika ziara ya siku mbili kwa madhumuni ya kufungua kampunbi ya Pan Paper ambacho sasa kiko chini ya usimamizi ya kampuni mpya ya Rai. Na kama anavyotueleza mwanahabari wetu Hassan Farah ni kuwa katika ziara yake, Rais Uhuru Kenyatta pia ameshtumu vikali viongozi wa upinzani kwa kueneza propaganda.

Tags:

Uhuru kenyatta Rai Paper webuye western panpaper

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories