Rais Kenyatta na Gavana Joho walumbana


Gavana wa Mombasa Hassan Ali Joho aligeuza jukwaa la Rais Uhuru Kenyatta kuwa la malumbano ya kisiasa, kwa kutofautiana vikali na rais kuhusu uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa daraja la Buxton pamoja na miradi mingine aliyozindua leo mijini humo. Joho anadai kuwa serikali ya Jubilee haijaanzisha mradi wowote Mombasa ila inaendeleza miradi iliyoanzishwa kitambo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: MPs threaten to slash NYS budget

Story By Simon Kigamba
More by this author