Rais Kenyatta na Naibu wake wazuru Nairobi

Rais Uhuru Kenyatta ameongoza kikosi kizima cha wagombea kiti cha ugavana jijini Nairobi kwa tiketi ya Jubilee katika kampeni ya kushinikiza wenyeji wambwage Gavana Evans Kidero katika kinyang’anyiro kijacho. Akiandamana na naibu rais, wamemkosoa Kidero kwa kile walichotaja kama usimamizi mbaya wa fedha za kaunti. Aidha wamepuuzilia mbali shinikizo la upinzani la kuwataka baadhi ya maafisa wakuu wa IEBC kutimuliwa.

Tags:

Nairobi william ruto Governor Kidero Rais Uhuru Kenyatta

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories