Rais Kenyatta na Waziri Mkuu wa Japan walifungua rasmi Kongamano la TICAD

Kwa mara nyingine shughuli za kibiashara zinatarajiwa kupungu wekendi hii katikati mwa jiji la Nairobi ili kutoa nafasi murua kwa kongamano la uwekezaji la ticad awamu ya sita. Japo baadhi ya biashara na shughuli za wenyeji huenda zikatatizwa manufaa yatokanayo na kongamano hili yanasemekana kuwa mengi zaidi Patrick Igunza anatueleza zaidi

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories