Rais Kenyatta yuko ziarani eneo la kati

Rais Uhuru Kenyatta amesema yuko tayari kumkabidhi madaraka yeyote atakayembwaga katika kinyang’anyiro cha ikulu mwezi agosti.

Kenyatta amesisitiza kuwa, kama mwanademokrasia, anatambua uamuzi kuhusu uongozi wa taifa utafanywa na mamilioni ya wakenya waliosajiliwa kupiga kura, na kuwataka washindani wake wasalimu amri iwapo atawapiga mweleka katika kura ya urais.

Kauli mbiu yake ikisalia ile ya kuwarai wakenya wasio kwenye daftari la wapiga kura wafanye hima, kabla ya mlango kufungwa tarehe 14 mwezi ujao. Francis gachuri ana taarifa kamili.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories