Rais Magufuli aagiza wizara zote kuhamishwa Dodoma

Siku chache tangu serikali ya Tanzania kutangaza kunuia kuhamisha makazi yake jijini Dsm na kuyapeleka huko mkoani Dodoma,baadhi ya wananchi wamekuwa wakidai kuwa mchakato  huo ni gharama ya juu huku wengine wakimuomba rais Dkt John Pombe magufuli kutekeleza mchakato huo kwa awamu kwa kila wizara na watumishi wake iulikuwa nafasi ya maandalizi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories