Rais Mteule ahakikishia wakenya usalama

Rais uhuru Kenyatta amewataka wapinzani wake ambao hawakuridhishwa na matokeo ya uchaguzi kuwasilisha malalamishi yao mahakamani na kuwaruhusu wananchi kuendelea na shughuli zao za kila siku. Rais amesema kuwa japo wanaopinga matokeo hayo wana haki ya kikatiba kufanya maandamano ya amani, serikali haitakubali uharibifu wa mali na uhalifu kufanyika kwa madai kuwa ni maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories