Rais na kikosi cha Jubilee watoa cheche za maneno Rabai

Rais Uhuru Kenyatta na naibu rais William Ruto wamemtetea kaimu waziri wa usalama Dkt Fred Matiang’i dhidi ya tuhuma kutoka kwa wapinzani kuwa anatumiwa katika njama ya kuiba kura. Katika kampeni katika kaunti za Taita Taveta na Kilifi, rais na naibu wake wametaja madai hayo kama ambayo hayana msingi na kusema kuwa ni dhahiri kuwa wapinzani wanahofia kushindwa katika kinyang’anyiro cha Agosti.

Tags:

JUBILEE Fred Matiang'i KWALE TAITA TAVETA Kilifi Uhur Kenyatta

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories