Rais na Naibu wake wafanya kampeni kaunti ya Bungoma

Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wameapa kuhakikishia kila mkenya atakayeshiriki katika uchaguzi wa marudia alhamisi ijayo usalama wake.
Wakiwa katika msafara wa kampeni magharibi mwa kenya na bonde la ufa, wawili hao wameshtumu muungano wa upinzani kwa kuhujumu haki ya wakenya ya kidemokrasia.
Aidha jubilee imeshikilia msimamo kuwa haiko tayari kufanya mazungumzo na upinzani.

Tags:

Uhuru kenyatta bungoma JUBILEE

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories