Rais na naibu wake wapeleka kampeni kaunti ya Nyeri

Rais Uhuru Kenyatta na naibu rais walilazimika kubadili msimamo wao kuhusu shinikizo la kuwata wenyeji wa Nyeri kuwapigia kura walioteuliwa kwa chama cha Jubilee pekee. Katika baadhi ya maeneo wenyeji walikataa kauli mbiu hiyo na kumtaka rais awaache waamue wenyewe wanataka nani katika viti vingine vyote vya uchaguzi isipokua kiti cha urais.

Tags:

Uhuru kenyatta JUBILEE nyeri

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories