Rais na naibu wake wazuru Kisii


Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wamewarai wenyeji wa kaunti za Kisii na Nyamira kuchagua maendeleo na serikali ambayo inawajumuisha watu kutoka makabila mbalimbali na wala wasihadaiwe na wapinzani. Kwenye kampeni katika kaunti hizo mbili, rais amesema kuwa upizani ni kisima cha wachache tu ambao ni yao ni kuvuruga amani ili uchaguzi usifanyike tarehe 26 kama unavyopangiwa.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Faiza Wanjiru
More by this author