Rais na Naibu wake wazuru Kwale na Kilifi

Rais Uhuru Kenyatta hii leo ameendeleza kampeni za jubilee katika eneo la Pwani kwa siku ya pili mfululizo huku rais akizuru kaunti za kwale na kilifi. Rais Kenyatta akiwasuta wapinzani wake katika muungano wa nasa akiwalaumu kwa kushindwa kuanzisha maendeleo katika eneo hilo walipokuwa uongozini. Stephen letoo na taarifa hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories