Rais na naibu wake wazuru Nyandarua, Laikipia na Nakuru

Rais Uhuru Kenyatta amewataka wananchi kuzingatia kutimizwa kwa ahadi alizotoa mwaka 2013, watakapofanya uamuzi terehe nane mwezi Agosti.  Rais na naibu wake William Ruto wamewarai wenyeji wa kaunti za Nyandarua, Laikipia na Nakuru kumruhusu muhula wa pili ili akamilishe mipango ya maendeleo aliyonayo.

Tags:

JUBILEE Nakuru. NYANDARUA laikipia Wiliam Ruto Rais Uhur Kenyatta

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories