Rais na Naibu wapiga siasa viungani mwa Nairobi


Rais Uhuru Kenyatta kwa mara nyingine amewaonya viongozi wa upinzani nasa dhidi ya kusambaratisha uchaguzi wa marejeo siku ya alhamisi akiahidi kuwa serikali itakabiliana vilivyo na wale watakaodhubutu kuvuruga amani. Rais Kenyatta alikuwa akizungumza alipoongoza kampeni za mwisho za Jubilee hapa jijini

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Makori Ongechi
More by this author