Rais Uhuru ahudhuria misa ya kuombea amani

Rais Uhuru Kenyatta hii leo ametoa wito kwa wakenya kuliombea taifa ili kuwepo na uchaguzi wenye aman, haki na kweli.
Kenyatta amesisitiza kuwa maendeleo ya kitaifa yataafikiwa tu iwapo umoja na utangamano zitafanyika nguzo za ujenzi wa taifa. Aliyasema haya wakati wa ibada maalum iliyoandaliwa na kanisa katoliki hapa jijini Nairobi.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories