Rais Uhuru aishawishi jamii ya wakuria impigie kura


Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto leo wamezidisha kempeni za kutafuta kuchaguzliw akatika kinyang’anyiro cha tarehe 26 kwa kukutana na ujumbe kutoka jamii ya wakuria na kufanya kampeni Vihiga. Rais na naibu wake wakiahidi maendeleo kochokocho kwa wenyeji wa maeneo hayo iwapo watachaguliwa tena, wamewataka wananchi kueneza amani na utangamano na kupuuza siasa za kikabila ambazo wanasema zinaenezwa na muungano wa NASA.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Faiza Wanjiru
More by this author