Rais Uhuru akutana na viongozi wa Ukambani na Bungoma

Rais Uhuru Kenyatta amesema kuwa bunge litapitisha hoja ya kumng’oa mamlakani kiongozi wa upinzani raila odinga endapo atashinda katika marudio ya uchaguzi wa urais mwezi ujao. Rais anasema kuwa kiongozi huyo wa NASA hataweza kuongoza nchi kwasababu Jubilee ina idadi nyingi zaidi ya wajumbe katika mabunge yote mawili na mabunge ya kaunti. Rais ambaye amekutana na viongozi mbalimbali katika ikulu ya Nairobi amewataka wananchi kuwa

Rais Uhuru Kenyatta amesema kuwa bunge litapitisha hoja ya kumng’oa mamlakani kiongozi wa upinzani raila odinga endapo atashinda katika marudio ya uchaguzi wa urais mwezi ujao. Rais anasema kuwa kiongozi huyo wa NASA hataweza kuongoza nchi kwasababu Jubilee ina idadi nyingi zaidi ya wajumbe katika mabunge yote mawili na mabunge ya kaunti. Rais ambaye amekutana na viongozi mbalimbali katika ikulu ya Nairobi amewataka wananchi kuwa na hekima wasije wakapoteze kura zao.

na hekima wasije wakapoteze kura zao.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories