Rais uhuru aongoza kampeni za Jubilee Narok

Rais Uhuru Kenyatta amewataja viongozi wa upinzani kama watu ambao wanatafuta uongozi ili kujinufaisha wenyewe. Akitafuta kura katika kaunti ya Narok, Rais Kenyatta amesema kuwa viongozi wa upinzani wanajitakia makuu tu na kupanga watakavyogawana mamlaka na wala hawana ajenda yoyote ya kuboresha maisha ya wananchi.

Tags:

JUBILEE narok Rais Uhuru Kenyatta Samuel Ole Tunai

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories