Rais Uhuru Kenyatta aongoza kampeni za Jubilee jijini


Kenyatta amepuuzilia mbali vitisho vya muungano wa Nasa kususia uchaguzi wa marudio ulioratibiwa kufanyika Oktoba 17.
Katika bustani ya uhuru hapa jijini Nairobi, viongozi hawa wa Jubilee pia wamezidisha makali yao kwa mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati wakimtaka atatue migogoro inayokumba IEBC.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Citizen Team
More by this author