Rais Uhuru Kenyatta apeleka kampeni Wajir

Rais Uhuru Kenyatta sasa anasema kuwa hana pingamizi lolote na uamuzi wa wananchi wa maeneo mbalimbali kusalia kwenye vyama vyao ili kuweza kumenyana kwenye viti vingine vya uchaguzi huku wakimuunga yeye mkono. Rais amewahakikishia wenyeji wa wajir kuwa atawapokea viongozi watakaowachagua kupitia chama cha PDR ilimradi wampe kura ya urais.

Tags:

Uhuru kenyatta JUBILEE Wajir PDR

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories