Rais Uhuru: Kumkosoa Maraga si kuwachukia wakisii


Tukigeukia siasa za jubilee, Rais Kenyatta leo amejitetea  kuwa tofauti yake na Jaji Mkuu David Maraga kuhusiana na uamuzi wa mahakama ya juu haupaswi kutumiwa kuonyesha kana kwamba anaikashifu jamii ya wakisii. Rais kenyatta aliyasema haya alipoongoza kampeni za Jubilee katika kaunti ya Kajiado

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Gatete Njoroge
More by this author