Riboti ya moto shuleni


Usimamizi mbaya, matumizi ya pombe na kuabudu shetani vimetajwa kama baadhi ya maovu yaliyosababisha vingi vya visa vya moto kwenye shule za humu nchini kama ilivyoshuhudiwa mwaka jana. Haya ni kwa mujibu wa ripoti iliyotayarishwa na jopo maalumu lililobuniwa kuchunguza visa hivyo ambavyo viliathiri masomo katika nyingi ya shule za upili.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Bobi Wine: Where I come from politician means lying and manipulating people #JKLive

Story By Patrick Igunza
More by this author