Ripoti ya tathmini ya mitambo ya IEBC kuwasilishwa kortini


Msajili wa mahakama ya juu anatarajiwa kuwasilisha ripoti ya ukaguzi wa mitambo ya IEBC sawia na fomu za 34a na 34b, kama alivyoamrishwa na jopo la majaji saba wanaosikiza kesi inayopinga uchaguzi wa Rais Uhuru Kenyatta. Licha ya muungano wa Nasa kuoyesha kutamaushwa kwao na jinsi shughuli hiyo ilivyofanyika mchana w

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Hassan Mugambi
More by this author