Ripoti yatuhumu polisi kwa mauaji ya kiholela dhidi ya raia

Shirika la kutetea haki za kibinaadamu kwa jina haki africa limeshtumu polisi kwa kuhusika katika mauaji ya kiholela ya watu 81 eneo la pwani katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.

 

Katika ripoti yake iliyokabidhiwa mwenyekiti wa halmashauri ya kuchunguza utendakazi wa polisi ipoa, shirika hilolinadai idadi hiyo ni ya wale tu waliojitokeza huku wakisema huenda kunawengine.

 

Na kama anavyoarifu hassan mugambi idara ya polisi imekana kuhusika katika mauaji ya watu hao.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories