Ruto aongoza brigedi ya Jubilee katika kaunti kadhaa

Naibu wa rais William Ruto ameongoza kampeini za Jubilee katika kaunti za Kericho, Kisii na Nyamira. naibu huyo na ujumbe mzima wa viongozi kadhaa wa chama hicho wamekariri kuwa wako tayari kushiriki katika uchaguzi wa Oktoba 26 huku wakimtaka kinara wa NASA Raila Odinga kukubali kushindwa na kuacha kulalamika.

Tags:

JUBILEE Migori william ruto Kuria

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories