Ruto aonya upinzani, kuwa tayari kushindwa kwenye uchaguzi

Naibu Rais William Ruto amedai kuwa upinzani hauna mikakati ya kisiasa kushindania urais kwenye uchaguzi mkuu ujao dhidi ya chama cha Jubilee. Akiongea kwenye hafla ya kumkaribisha katibu katika wizara ya habari mawasiliano na teknolojia Sammy Itemere katika eneo la Burendwa, eneo bunge la Ikolomani kaunti ya Kakamega, Ruto alidai kuwa wapiga kura watapigia kura Jubilee kwani, chama hicho kimefanya maendeleo mengi.

Tags:

CORD JUBILEE william ruto KAKAMEGA Ikolomani

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories