Ruto asisitiza mazungumzo ya kitaifa sharti yahusu maendeleo

Naibu Rais William Ruto amezidi kuweka wazi msimamo wa serikali kuhusiana na wito wa upinzani wa mazungumzo akisema aina yoyote ya mazungumzo sharti yajikite katika maendeleo na wala sio masuala ya kisiasa. Naye kinara wa chama cha Maendeleo Chap Chap Alfred Mutua amepuuzilia mbali wito huo wa mazungumzo lakini akasema kama yatafanyika basi yashirikishe pande zote kikiwemo chama chake

Tags:

NASA dialogue William Ruto Alfred Mutua

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories