Ruto awataka Wapwani kuunga mkono Jubilee

Naibu Rais William Ruto amekamilisha ziara yake ya eneo la pwani akiwarai viongozi na wakazi kujiunga na chama kipya cha Jubilee kitakapozinduliwa mapema mwezi ujao.
Akiwa katika kaunto uya kilifi ruto amejumuika na viongozi wa eneo hilo baadhi yao ambao ni wabunge wa upinzani wanaokaidi misimamo ya Cord wameapa kujiunga na chama hicho wanapojiandaa kwa uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories