Ruto: Chagueni Jubilee iwaletee miradi ya maendeleo

Mchakato wa kuwarai Wakenya wajitokeze kwa wingi kusajiliwa kuwa wapigakura unazidi kutokota huku chama cha Jubilee kupitia naibu wa rais William Ruto kwa siku ya pili sasa kikilenga kura za kaunti ya Turkana.

Tags:

JUBILEE william ruto turkana

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories