Ruto: Maendeleo ya Jubilee ni dhahiri

Gavana wa Bomet Isaac Ruto amejipata matatani kwa kusitisha ujenzi wa chuo kikuu mjini Bomet. Kikosi kizima cha viongozi wa jubilee wakiongozwa na rais uhuru kenyatta wamemsuta gavana ruto kwa kuasi chama cha jubilee na kuendeleza sera za chama cha mashinani. Ruto aliachwa solemba kwa saa kadhaa katika hospitali ya longisa ambapo alitarajia kukutana ana kwa ana na rais kenyatta na naibu wa Rais William Ruto.

Tags:

Isaac Ruto william ruto Bomet Rais Uhuru Kenyatta

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories