Ruto, Mudavadi waongoza mkutano wa kisiasa Bomet

Vinara wa muungano wa Nasa Musalia Mudavadi na gavana wa Bomet Isaac Ruto wamewaongoza mamia ya wakazi wa kaunti hiyo  kwenye mkutano wa kisiasa ulioandaliwa mchana wa leo.Wakati huo huo, viongozi mbalimbali wa chama cha ODM pia waliandaa mkutano sawia katika kaunti ya Migori.

Tags:

Isaac Ruto NASA Musalia Mudavadi Bomet Chama Cha Mashinani

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories