Ruto na Laboso watoana kijasho kwenye kivumbi hicho

Muungano wa NASA na chama cha Jubilee wanaonekana kupimana nguvu katika kaunti ya Bomet, sio tu katika kinyang’anyiro cha urais bali pia kiti cha ugavana. Gavana wa sasa Isaac Ruto na naibu spika wa bunge la taifa Joyce Laboso wanaotoana jasho kwenye kampeni za kutafuta kuchaguliwa katika kinyang’anyiro kinachokisiwa pia kupima ubabe wa Naibu Rais William Ruto katika siasa za bomet. Je, Bomet inaweza kutajwa kama kaunti inayotoa upinzani mkali zaidi kwa chama cha Jubilee katika bonde la ufa? Mwanahabari wetu Faiza Maganga anaelekeza darubini ya siasa kwenye kinyang’anyiro cha Ugavana Bomet.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories