Rwanda yapiga hatua utekelezaji marufuku ya plastiki


Safari ya marufuku yao ilianza miaka tisa iliyopita huku yetu ikiwa ndio imeng’oa nanga. Na kama sisi wao pia walipokea tetesi tele kutoka kwa wakaazi wa nchi hiyo. Mtazamaji sio kwengine bali ni nchi ya Rwanda amako mwanahabari Saida Swaleh alizuru ili kuelewa ni vipi wakenya na warwanda wanavyoishi baada ya marfuku ya mifuko ya plastiki nchini humo. Faini za matumizi ya mifuko hiyo ikiwa juu mno kana kwamba hakuna anayethubutu kupatikana nayo. Basi haya hapa makala yake saida swaleh ya sanda ya sandarusi.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channel



Video Of The Day: High amounts of Mercury, Copper found in contraband sugar

Story By Saida Swaleh
More by this author