Safari Ya Ustawi

Safari Ya Ustawi

Kwa kawaida, matokeo ya mtihani wa darasa la nane wa KCPE huwa inaashiria ikiwa mwanafunzi atanawiri kimasomo au la. Kwa wale wanafunzi wengi ambao hupata alama zisizo za juu kabisa, huwa hawajui ikiwa watapata nafasi katika shule nzuri. Lakini kwa msichana mmoja, kutofaulu kupata shule mapema kutokana na alama zake 339 katika mtihani huo kulimpa motisha kutia bidii. Miaka minne baadaye Grace Munyiri alitokea kuwa mwanafunzi bora zaidi katika shule ya wasichana ya Chogoria na alama ya A ya pointi 83 licha ya changamoto kadhaa. Hii hapa taarifa yake mwandishi wetu Abdi Osman.  

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories