Safari za ndege za moja kwa moja hadi Marekani kuanza Oktoba

Kwanzia tarehe 28 mwezi Oktoba mwaka huu, wakenya wataweza kusafiri moja kwa moja hadi nchini Marekani kwa kutumia ndege. Hii inafuatia hatua ya kampuni ya Kenya Airways kutangaza kuanza rasmi kwa safari hizo ifikapo tarehe hiyo.

Tags:

Kenya Airways kq Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) US direct flights

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories