Safaricom yazindua mfumo mpya wa Mpesa kwa walemavu wa kuona

Wateja wa huduma ya M-Pesa wasiokuwa na uwezo wa kuona sasa wana nafasi ya kutumia huduma hiyo bila kuhitaji msaada wa mtu. Hii ni baada ya kampuni ya Safaricom kuboresha huduma hiyo kwa minajili ya matumizi bora miongoni mwa wateja walio na ulemavu wa macho.

Tags:

M-Pesa for visually impaired

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories