Sakata Ya Ardhi

Naibu rais William Ruto na waziri wa habari Fred Matiang'i wametajwa kama wahusika wakuu kwenye sakata ya shamba la ekari 134 katika eneo la Karen. haya yamefichuliwa na  maseneta na wabunge wa CORD ambao  wanadai kuwa wana rekodi kutoka kwa wizara ya ardhi zinaonyesha kuwa wawili hao pamoja na inspekta jenerali wa polisi David Kimaiyo, mkurugenzi wa CID Ndegwa Muhoro, seneta Mike Sonko na gavana wa Nairobi Evans Kidero pia ni wahusika.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories