Salgaa na Sachangwan ni maeneo hatari mno

Mtazamaji kuna maeneo mengi ya barabarani humu nchini ambayo yametajwa kuwa hatari kwa usalama wa magari. Ajali hutokea mara kwa mara. Katika taarifa yake Saida Swaleh anadokezea sehemu za barabara ambazo wasafiri wanatahadharishwa kuwa waangalifu hususan tunapoelekea msimu huu wa Krismasi.

Tags:

salgaa Sanchangwan

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories